Tume ya kutetea Haki za Kibinadamu, KHRC, imetishia kuwashtaki waliohusika na ubomozi wa majengo eneo la Mavoko, Athi River katika ardhi inayokisiwa kuwa ya kiwanda cha saruji cha east Africa cement. Kundi hilo la haki za binadamu lilitaja ubomozi huo kuwa kinyume cha sheria.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/fc3faa69-46da-4802-9ed5-03b3243a526b
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/fc3faa69-46da-4802-9ed5-03b3243a526b