Yamkini takriban watu 120 wamefariki kufikia sasa tangu mwezi octoba huku elfu 89 wakiachwa bila makao kufuatia mafuriko yanayoshuhudiwa nchini kutokana na mvua nyingi inayozidi kunyesha nchini.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/d70dfcdb-5e91-41f7-a344-e8094c6d5356