Wakaazi wa kaunti ya Turkana haswa walio waraibu wa tumbaku wametahadharishwa dhidi ya hatari ya kuambukizwa ugonjwa wa saratani. Hii ni baada ya madaktari na wataalamu wa afya katika kaunti hiyo kudhibitisha kuwepo kwa saratani mpya ya ulimi na ambayo husababishwa na kutafuna tumbaku
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/2aef3964-5028-4878-a8bf-855b9d387eca