Serikali ya Bungoma imeanzisha mpango wa kuwapa wakulima wasiojiweza mbolea na mifuko ya mahindi tayari kwa msimu wa upanzi. Hadi kufikia sasa, takribani wakulima zaidi ya mia tano miongoni mwao wajane, walemavu na mayatima wamenufaika kutokana na mpango huo.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/1672029e-8a10-4582-8167-57e0e19b9c97