Wakenya wamehimizwa kukumbatia mila na tamaduni zao kukuza amani na maendeleo, akiongea katika ukumbi wa Bomas wakati wa kuadhimisha siku ya utamaduni hapa nchini mkewe Rais Ruto, Rachel Ruto alizitaka kaunti mbali mbali kukumbatia tamaduni za jamii katika kukuza talanta na utalii.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/945150fe-2e8e-46ab-a4c9-17ff3cdcbde7