Takriban walimu 37 wameuwawa na magaidi wa Al-shaabab na maafisa 30 wa polisi tangu mwaka 2013. Akitoa takwimu hizo, Waziri wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki amesema wanamgambo wa Al-Shabaab wamekuwa tatizo kuu kwa usalama wa Wakenya hasa wanaoishi katika kaunti zilizoko mipakani mwa Kenya na Somalia.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/08021bea-70fa-458c-95d8-8b7221414844