Matukio ya Taifa: UNESCO yatilia mkazo haja ya kuwezesha wanafunzi kupata maarifa na ujuzi

radiotaifa
0 Min Read

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetilia mkazo haja ya kuwawezesha wanafunzi kupata maarifa, maadili, mitazamo na ujuzi utakaowageuza kuwa mabalozi wa amani na maendeleo katika jamii zao

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/910837c0-1d16-4abd-a38d-be85b7e7d98d

Share This Article