Watumizi wa barabara wametakiwa kuchukua jukumu la kuhakikisha usalama barabarani unadumishwa msimu huu wa Disemba, huku ikibainika kwamba ajali nyingi za barabara husababishwa na watumizi wa barabara kukosa kumakinika.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/7991462c-e5ae-4dd6-8d20-96afa05b0921