Kulingana na Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi Gitivo Mwita, ukosefu wa barabara na mipaka thabiti katika kaunti ya Turkana umechangia pakubwa ukosefu wa usalama katika eneo hilo.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/6a89df73-d820-402f-8411-59fe18aef45a