Matukio ya Taifa: Ufisadi, mojawapo wa tatizo sugu linaloikumba Kenya

radiotaifa
0 Min Read

Ufisadi bado umeorodheshwa kama mojawapo ya matatizo makubwa yanayoikabili nchi yetu. Licha ya hatua muhimu zilizochukuliwa na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC katika kuleta utulivu katika sekta mbalimbali za uchumi, bado janga hilo limesalia kuwa mwiba nchini.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/582dcbac-87ea-432a-aaed-c67edc1df121

nduguseliphaz@gmail.com | Website |  + posts
Share This Article