Matukio ya Taifa: Tuvumilie! Serikali yasema wakenya wakilalamikia hali ngumu ya maisha

radiotaifa
0 Min Read

Msemaji wa serikali Isaac Mwaura amewataka wakenya kuvumilia hali ngumu ya maisha ambayo imesababishwa na kuzorota kwa uchumi. Mwaura amesema serikali inafanya kila iwezalo kurudisha hali ya kawaida ikiwa ni pamoja na kuondoa makali ya bidhaa ya juu ya bei za bidhaa za kawaida.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/a1380664-4d06-4543-96cc-88657ec0f1c0

Share This Article