KWENYE MAKALA YA MATUKIO HII LEO
1. Serikali yatakiwa kudhibiti kiwango cha riba ya mikopo kuzuia kuwaumiza zaidi wanaokopa
2. Walimu wa shule za msingi sekondari wasisitiza kuajiriwa kwa mkataba wa kudumu kufanikisha cbc
3. Wanaumme watakiwa kupaza sauti na kuripoti dhuluma dhidi yao
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/1dc303b0-d632-499c-affb-579efecb379a