Matukio ya Taifa: Serikali yahimizwa kuwezesha wakulima wa humu nchini

radiotaifa
0 Min Read

Serikali imetakiwa kuwezesha wakulima wa humu nchini ili kuzalisha chakula zaidi , Mtaalamu wa masuala ya utawala Gibson Gisore, ameitaka serikali kuharibu mafuta ambayo KEBS ilisema hayafai kwa matumizi ya binadamu kuharibiwa.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/063588d3-f01b-457a-827c-9f7377f87a67

Share This Article