Serikali ya kaunti ya busia imepokea msaada wa dawa uliogharimu takriban shilingi milioni mbili kutoka kwa shirika la afya duniani WHO kwa ajili ya kusaidia wakaazi kukabiliana na magonjwa yanasababishwa na mvua ya elnino.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/3315091b-3fc0-4ac1-b917-1be3589807af