Serikali itachukulia hatua za kisheria wauzaji mbegu na dawa gushi katika sekta ya kilimo. Onyo hilo limetolewa na waziri wa kilimo mithika linturi akisema mbegu hizo gushi zimelemaza juhudi za kuimarisha sekta ya kilimo.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/71fed3f8-6675-4fe1-b8d0-b8d7157671ae