Ukosefu wa mipangilio, uzembe miongoni mwa maafisa wa kaunti sawa na mianya ya ufisadi imetajwa kama sababu zinazolemaza serikali za kaunti kutumia mgao wa maendeleo unaotolewa kutoka kwa hazina ya kitaifa
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/df10320d-e603-4e88-b4f1-2942bb9c38ff