Rais William Ruto amewasuta viongozi wa upinzani kwa kuendelea kukashifu mipango ya serikali. Akizungumza kaunti ya meru Rais Ruto ameutaka upinzani ikuelezea bayana mipango walionayo kwa serikali badala ya kukosoa serikali kila wakati.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/04a8bf04-ba69-4e89-a1d1-b434514df8db