Matukio ya Taifa: Naibu Rais asema serikali kuu haitatoa fedha zaidi kwa kaunti kukabili mafuriko

radiotaifa
0 Min Read

Naibu Rais amesema serikali kuu haitatoa fedha kwa serikali za kaunti na kwamba kaunti zinafaa kutumia mfuko wake wa fedha katika kukinga wananchi na makali ya mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/b246dee9-1229-4e4a-b036-e883e0e1f296

Share This Article