Mwanafunzi mmoja wa kike alilazimika kutembea kwa takriban kilomita 40 hadi katika shule ya upili ya wasichana ya St. Marys kuomba mwalimu mkuu kumruhusu kujiunga na kidato cha kwanza.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/cc4b9744-df51-47f8-9080-9b5fbe74d17f