Wakazi katika maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Nairobi wameathiriwa vibaya na mafuriko yanayoendelea, Hali inayolemaza shugli zao za kila siku.
Haya yanajiri siku moja tu baada ya Idara ya Hali ya Hewa kuwaonya Wakenya kuwa waangalifu kwani mvua zitaendelea kwa siku saba zijazo na huenda zikasindikizwa na upepo mkali, radi, na umeme.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/1339a9f3-4b3e-4df0-95c0-05404b958cea