Matukio ya Taifa: Muungano wa Madaktari KMPDU walalama, Wizara haiwasikizi

radiotaifa
0 Min Read

Muungano wa madaktari nchini KMPDU umemelamikia jinsi wizara ya afya haijakuwa ikiwapa sikio katika lalama ambazo wamekuwa wakiziwasilisha kwao. Madaktari hao chini ya muungano huo wanasema kwa miaka sasa wamekuwa wakiitisha vikao na wizara ya afya japo hajawakuwa wakipata suluhu wanavyotaka.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/a82e2071-41a2-4c4b-b218-e36badb72cb0

Share This Article