MAAFISA WA ELIMU KAUNTI YA MIGORI WAMEANZISHA OPARESHENI, YA KUWATAMBUA WANAFUNZI WALIOFANYA MTIHANI WA DARASA LA NANE MWAKA JANA NA AMBAO HAWAJAJIUNGA NA SHULE ZA UPILI.
OPARESHENI HII INALENGA KUAFIKIA ASILIMIA MIA MOJA YA WANAFUNZI KWENYE KAUNTI HIYO WANAJIUNGA NA SHULE ZA UPILI.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/e1e99f82-0263-41e7-afb0-3b1ee6d690c1