Serikali ya kaunti ya Narok imeanza shughuli za kukarabati bara bara zote katika mitaa mbali mbali mjini humo kwa lengo la kurahisisha uchukuzi sawa na biashara baada ya kuathirika na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/ef9ccc35-d219-424b-b0b2-2ecb6a06c389