Kamati ya mazungumzo ya maridhiano ya pande zote mbili imekamilisha zoezi la kupokea maoni kutoka kwa wananchi.
Tume hiyo sasa inatarajiwa kuanza zoezi la kupekua maoni hayo na kutoa ripoti kamili. Haya yanajiri wakati Askofu mkuu wa kanisa la katoki jimbo la nairobi philip Anyolo amepongeza mkondo wa kuwepo mazungumzo.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/3e1383a2-19b5-42f8-b3a3-007cca355b3b