Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa onyo kwa rai wake kutokana na machafuko yaliyoshuhudiwa siku ya uchaguzi mkuu Jumatano baina ya raia na Polisi.
Marekani iliwataka raia wake kusalia manyumbani na kuepuka maeneo yenye misongamano.
Aidha, Ubalozi huo ulitoa taarifa hiyo kufuatia machafuko ya siku ya uchaguzi mkuu yaliyoshudiwa katika maeneo mengi.