Marekani yamwekea vikwazo Mkuu wa majeshi ya Sudan

Dismas Otuke
0 Min Read

Serikali ya Marekani imemwekea vikwazo mkuu wa majeshi ya Sudan Abdel Fah Burhan.

Inamtuhumu kwa kuendeleza vita badala ya mashauriano.

Vita vya kijeshi nchini Sudan vimechangia vifo vya zaidi ya watu 10,000 huku mamilioni ya wengine wakihama makwao.

Marekani na Saudi Arabia zimejaribu bila mafanikio kutafuta suluhu  ya kumaliza vita hivyo kwa kutumia majadiliano.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *