Mabingwa wa ligi kuu Uingereza Manchester City wanakaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa Chelsea Mateo Kovacic kwa ada ya pauni milioni 34 nukta 2 .
Imebainika kuwa mazungumzo baina ya klabu ya Chelsea na Mancity yanendelea vyema huku pande zote zikitazamiwa kuafikiana .
Chelsea inakabiliwa na shinikizo la kuwauza wachezaji ili kupata hela za kununua wachezaji zaidi