Man U yamtimua Carrick kwa matokeo duni

Dismas Otuke
1 Min Read

Klabu ya Manchester United hatimaye imehiari kumfurusha mkufunzi mkuu Michael Carrick kufutia msururu wa matokeo dunia msimu huu.

Carrick, aliye na umri wa miaka 45, aliwaongoza The Red Devils kumaliza nafasi ya tatu ligini akishinda mechi 12 kati ya 17 msimu jana.

Hata hivyo, msimu huu umemwendea tenge akishikilia nafasi ya 18 ligini na kushinda mechi moja pekee kati ya 10.

Aliyekuwa meneja wa zamani wa Tottenham Hotspur Mauricio Pochettino anatarajiwa kutangazwa kutwaa nfasi hiyo.

 

Share This Article