Mamilioni wapigwa na joto kali Marekani

Dismas Otuke
0 Min Read

Takriban Wamarekani milioni 27 wanakabiliwa na joto jingi kupindukia na kulazimika kukimbilia furniture na maeneo ya maji.

Maeneo mengi ya Marekani yamekuwa yakishuhudia joto la kiwango cha nyuzijoto hadi 46.

Joto hilo linahatarisha maisha ya mamilioni ya wakazi huku pia likiongeza uwezekqno wa kuzuka kwa mioto ya jangwani.

Majimbo mengi yaliyoathiriwa ni Texas,Calfornia,Las Vegas na Florida.

Joto hilo pia limeshuhudiwa maeneo ya Ulaya.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *