Mamia ya Matabibu wanagenzi waandamana hadi kwa Wizara ya afya

Dismas Otuke
0 Min Read

Mamia ya Matabibu wanagenzi wanaojumuisha wataalam wa meno na Famasia, wameandamana siku ya Jumatatu hadi katika makao makuu ya Wizara ya afya wakitaka kuajiriwa.

Wanagenzi hao wamelalama kucheleweshwa kwa zaidi ya miaka sita bila kuajiriwa tangu wahitimu taaluma zao.

Waliongeza kuwa wizara ya afya iliwahadaa na kukosa kuwaajiri baada ya kukamilisha kipindi cha uanagenzi, na wamekuwa bila ajira kwa takriban miaka miwili sasa.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *