Abiria 40 wanapokea matibabu katika hospitali ya Fort Tenan, baada ya basi la abiria 66 kuhusika kwenye ajali katika eneo la Londiani mapema Alhamisi.
Kulingana na shirika la Red Cross majeruhi wengine 4 wanatibiwa katika hospitali ya Rufaa ya kaunti ya Kericho
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijabainishwa.