Kadri miaka inavyozidi kusonga ndivyo Teknolojia inavyozidi kukua. Matumizi ya Akili Bandia yanakua kwa kasi mno huku app nyingi zikiendelea kukua kama vile CHAT GPT. Siku hizi AI imeanza kuwekwa sana kwenye simu na kompyuta na vile vile katika mifumo mbali mbali, lengo kuu kurahisisha maisha ya binadamu na spidi yake ya kukua wengi wamehoji kwamba inahatarisha kazi za ofisini, lakini je, ni kitu kizuri au kibaya?
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/9df3ede8-2015-4c30-9762-dd20060a8f3d