Mahakama Kuu yadinda kusitisha utekelezaji wa sheria ya fedha mwaka 2023

Dismas Otuke
0 Min Read

Mahakama Kuu ya Kenya imedinda kusimamisha utekelezaji wa sehemu ya sheria katika sheria ya fedha ya mwaka 2023.

Seneta wa Busia Okiya Omtatah kwenye kesi yake pamoja na wakereketwa wengine walikuwa wameitaka mahakama kusitisha utekelezaji wa sheria hiyo mpya.

Majaji hao wameanza kusikiza kesi ya pamoja inayopinga utekelezaji wa sheria hiyo.

Website |  + posts
Share This Article