Mabalozi hawakusazwa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

Tom Mathinji
0 Min Read

Mabalozi wa Kenya katika mataifa ya nje wamehamishwa katika mabadiliko yaliyofaywa na Rais William Ruto jana Jumatano usiku.

Katika uhamisho huo, mabalozi wa kenya katika mataifa ya nje ni kama ifuatavyo.

Rais William Ruto pia alimteua Isaac Mwaura kuwa msemaji wa serikali, huku wasaidizi wake wakiwa mwanahabari Mwanaisha Chidzuga na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Gabriel Muthuma.

Share This Article