Kipute cha kuwania taji ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya kitarejea Jumanne usiku kwa nusu fainali ya kwanza, baina ya Bayern Munich na Real Madrid.
Munich ambao wameshinda taji hiyo mara 6 wanawinda ubingwa kwa mara ya kwanza tangu msimu wa mwaka 2019/2020.
Upande wao Madrid wanawania taji ya 15 na ya kwanza tangu msimu wa mwaka 2021/2022.
Mkondo wa pili utasakatwa ugani Santiago Barnabeu huku mshindi akitinga fainali.
Mkondo wa kwanza