KUPPET yataka kuharakishwa kwa utekelezaji wa nyongeza ya mishahara kwa walimu

Dismas Otuke
1 Min Read

Chama cha walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET, kimeitaka tume ya kuwajiri Walimu kuharakisha mazungumzo na kusaini kwa nyongeza mpya ya walimu ili kuwakimu dhidi ya matozo mapya yaliyoidhinishwa na serikali maajuzi.

Akizungumza siku ya Ijumaa ,Katibu Mkuu wa KUPPET Akelo Misori, amekariri kujitolea kwa muungano huo kuboresha maisha ya walimu na kuitaka serikali kushirikisha umma kablka ya kupitisha kwa mataozo mapya ya huduma ya NHIF.

KUPPET pia imeitaka serikali kupitia kwa wizara ya elimu kuondoa changamoto zinazokabili elimu ya shule za sekondari za wali yaani Junior secondary ili kuhakikisha masomo hayatatiziki.

TAGGED:
Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *