Klabu ya Tottenham hotspurs imeibuka washindi baada ya kuipokeza klabu ya Manchester United kichapo cha mabao 2-0 katika mchezo ambao United ilishindwa kustahimili mawimbi ya vijana wa Ange Postecoglou ambao walikuwa wametulia katika safu ya ushambuliaji iliyoshikana zaidi na walihitaji dakika nne tu za kipindi cha pili kupata bao la kuongoza.
https://art19.com/shows/zilizokiki-barani/episodes/84419c3e-f18a-4fc3-8193-363a228b8457