Kipchoge kushiriki Sydney Marathon kwa mara ya kwanza

Dismas Otuke
1 Min Read

Bingwa mara mbili wa Olimpiki katika mbio za Marathon Eliud Kipchoge, ametoa ithibati kushiriki mbio za Sydney Marathon Agosti 31 mwaka huu.

Mbio hizo zizntarajiwa kuwa na ushindani mkali haswa baada ya kumuishwa kwa mara ya kwanza katika msururu wa mbio kuu ulimwenguni.

Kipchoge aliye na umri wa miaka 40, atafungua msimu kwa kushiriki mbio za London Marathon tarehe 27 mwezi ujao.

Makala ya mwaka huu ya Syndey marathon yamewavutia wanariafha wapatao 80,000.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *