Morocco imeibwaga Kenya alama 65 kwa 55 katika mechi ya kwota fainali mashindano ya kombe la Afrika FIBA African nchini Angola.
Kenya Morans walichakazwa robo mbili za mwanzo pointi 17-10 na na 17-12 na Almagribiya, kabla ya kugutuka na kushinda robo ya tatu 15 -9, lakini wakabweteka na kupoteza kwota ya mwisho alama 12 -19.
Ushinde huo umezina ndoto ya Morans kuchez a nusu fainali na sasa itawalazimu kupiga mechi ya uorodheshaji tu.