Kenya Power yathibitisha kutoweka kwa umeme kote nchini

Dismas Otuke
0 Min Read

Kampuni ya usambazaji umeme ya KPLC imethibistiha kutoweka kwa nguvu za umeme katiuka maeneo mengi nchini Kenya kuanzia saa tatu Asubuhi.

Kulingana na arifa hiyo maeneo yote ya Kenya yamepoteza umeme isipokuwa Magharibi na North Rift.

KPLC hata hivyo imesema wahandisi wake wanashughulika  kukarabati  mitambo  yake.

TAGGED:
Share This Article