Kazi Burudani : Athari za kinu cha Nyuklia katika mazingira na maisha ya Binadamu

radiotaifa
0 Min Read

Kulingana na wataalamu wa masuala ya nishati ya nyuklia, uanzishwaji wa kituo cha kinu cha nyuklia humu nchini huenda ukawa si jambo ambalo wakati wake umefika na kwamba kuna haja ya kutoa masomo kwa uongozi, jamii na wahusika wa ngazi tofauti katika kuhakikisha kwamba usalama wa binadamu na utunzi wa mazingira unatiliwa maanani

https://art19.com/shows/taarifa/episodes/fbab2f1c-5551-4562-8904-c2fbe0f78b9b

Share This Article