Katibu Omollo akagua miradi ya maendeleo Kuria

Dismas Otuke
2 Min Read

Katibu katika Wiara ya usalama wa ndani Dkt. Raymond Omollo ameongoza shughuli ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya kitaifa katika eneo la Kuria Katibu katika Wizara ya usalama wa ndani Dkt. Raymond Omollo, ameongoza shughuli ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya kitaifa katika eneo la Kuria.

Miradi hiyo ni pamoja na ule wa maji wa Kegonga eneo la Nyamache, unaolenga kutoa maji safi kwa matumizi ya wakazi, ujenzi wa barabara ya Taranganya-Senta-Ntimaru-Nyamtiro OSBP-Kegonga-Kugitimo-Loliondo, ambayo itafungua fursa za kibiashara.

Aidha, Waziri amefungua rasmi mradi wa usambazaji maji wa Kebaroti kwa ushirikiano na mamlaka ya maendeleo ya maziwa.

Omollo alifanya ukaguzi huo akiandamana na Gavana wa Migori Ochilo Ayacko, Seneta wa Migori Eddy Oketch, Mbunge wa Suna Magharibi Peter Masara, na mwenzake wa Kuria mashariki Kitayama Maisori..

Miradi hiyo ni pamoja na ule wa maji wa Kegonga eneo la Nyamache, unaolenga kutoa maji safi kwa matumizi ya wakazi, ujenzi wa barabara ya Taranganya-Senta-Ntimaru-Nyamtiro OSBP-Kegonga-Kugitimo-Loliondo, ambayo itafungua fursa za kibiashara.

Aidha, Waziri amefungua rasmi mradi wa usamabaji maji wa Kebaroti kwa ushirikiano na mamlaka ya maendeleo ya maziwa.

Omollo alifanga ukaguzi huo akiandamana na Gavana wa Migori Ochilo Ayacko, Seneta wa Migori Eddy Oketch, Mbunge wa Suna Magharibi Peter Masara, na mwenzake wa Kuria mashariki Kitayama Maisori.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *