Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameelezea matumaini yake na mazungumzo ya maridhiano yanayoendelea baina ya serikali na upinzani.
Kalonzo pia amesema ameridhishwa na imani ya umma walio nayo kuhusu mazungumzo na pia maoni.
Kalonzo anaongoza uapnde wa upinzani katika meza ya mazungumzo huku serikali ikiongozwa na Kimani Inchungw’ah .