Kadhaa wauawa kufuatia makabiliano ya raia na polisi Tanzania

Dismas Otuke
0 Min Read

Yamkini watu waliuawa kwenye vurumai na makabiliano yaliyoshuhudiwa nchini Tanzania siku ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania siku ya Jumatano.

Aidha, serikali ilikatiza huduma za Internet huku mamia ya waandamani wakikamatwa na jeshi la Polisi.

Waaandamanaji wengi waliteta hatua ya Rais Samia Hassan ya kukandamiza upinzani ikiwemo kumfunga kiongozi wa upinzani wa Chama cha CHADEMA ambaye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini.

Website |  + posts
Share This Article