JSC yatangaza nafasi za kazi 91

Dismas Otuke
1 Min Read

Tume Huduma za Mahakama Nchini, JSC imetangaza nafasi za kazi 91 ikiwemo nafasai ya mwenyekiti, afisa wa jopo la rufaa, sheria na elimu zikiwa nafasi tano, makarani sita wa sheria na watafiti 80 wa sheria.

JSC imewataka waliohitimu kutuma maombi kwa kazi hizo kupitia tovuti yao kabla ya Aprili 17.

Tume hiyo imeahidi kuwa na uwazi katika mchakato huo wa usajili huku wale tu watakaofaulu wakiitwa kwa mahojiano.

TAGGED:
Share This Article