Haki ya ajira kazini ni suala muhimu katika jamii. Hata hivyo, ni wazi kwamba wanawake wengi bado wanadhulumiwa kazini, dhuluma ya kimapenzi ikiongoza kwenye visa vya dhuluma. Lakini wangapi wanafahamu hatua za kuchukua unapodhulumiwa?
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/7e67707a-b180-4e90-a518-8e3ea403c9c3