Majeshi ya Israel yametekeleza shambulizi jipya katika ukanda wa Gaza nchini Palestina mapema Alhamisi.
Imeripotiwa watu 11 wameuawa kwenye shambulizi hilo jipya, siku chache baada ya Israel kutangaza kusitisha mapigano.
Wapalestina 18,600 wameuawa katika mapigano hayo yaliyodumu kwa kipindi cha miezi mitatu.