IMF yaidhinisha mkopo wa dola milioni 120 kwa Uganda

Dismas Otuke
1 Min Read

Shirika la Fedha la kimataifa IMF,limeidhiniusha mkopo wa dola milioni 120 kwa Uganda baada ya kutathmini uwezo wake wa kulipia mkopo huo.

Mkopo ambao kwa jumla utakuwa wa kima cha dola bilioni 1 za Kimarekani utafikisha deni la Uganda kwa IMF kuwa dola bilioni 870, na unatarajiwa kuikwamua nchini hiyo ya Afrika Mashariki kiuchumi.

Itakuwa mara ya nne kwa Uganda kupokea mopo kutoka IMF huku ikijaribu kujikwamua kutokana na atharai za ugonjwa wa COVID 19.

TAGGED:
Share This Article