Hofu imetanda mjini Bukavu kusini mwa mkoa wa Kivu, baada ya waasi wa M23 kutwaa miji miwili siku ya Ijumaa iliyo na umbali wa kilomita saba.
Waasi wa M23 wametwaa mkoa wa Kivu Kaskazini mwa Goma ulio mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Waasi hao wameripotiwa kunyakua miji ya Kabamba na Katana.
Yamkini watu 3,000 wamefariki kutokana na mapigano mjini Goma kati ya waasi na wanajeshi wa serikali ya Rais Felix Tshisekedi.