Naibu Rais William Ruto amekanusha madai ya kampuni zinazomilikiwa na familia yake kufanya biashara na serikali, kinyume cha ilivyodaiwa kwenye kesi ya kumng’atua afisini iliyowasilishwa na mbunge wa Kibwezi West Mwengi Mutuse.
Gachagua amesema kampuni zote zinazomilikiwa na vijana wake na pia mkewe Bi Dorcas hazijawahifanya biashara na serikali kwa vyovyote.
Kwenye hotuba kwa taifa, Gachagua amesisitiza kuwa nyingi ya mali anayodaiwa kumiliki kwa njia isiyoeleweka ni urithi wa marehemu kakake.
Gachagua amesema inakera kuona baadhi ya watu wakuu serikalini wakikosa heshima kwa marehemu ndiugu yake na kutaka kumtimua afisini bila sababu zozote za kimsingi.